Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa pili kushoto) akiwasili Wilayani Hanang’, mkoani Manyara, katika kilele cha siku ya maadhimisho ya Idadi ya Watu Duniani.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA), Bw. Mark Bryan Schreiner, mkoani Manyara.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Lawrence Mafuru, akiwa na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Mipango ya Kitaifa, Bw. Royal Lyanga, katika maadhimisho ya Idadi ya Watu Duniani
Wizara ya Fedha na Mipango yaibuka kidedea tuzo za TANTRADE, kwenye Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam (sabasaba),
Mkurugenzi wa Mifumo ya Fedha, Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. John Sausi akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa kutoka Wizara na Taasisi za Wizara walioshiriki Maonesho ya 46 ya Biashara
Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Takwimu Ofisi ya Taifa ya Takwimu alipotembelea banda la Wizara katika maenesho ya biashara.