Kamishna wa Sera wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Elijah Mwandumbya, akizungumza jijini Dodoma na wanahabari kuhusu Kongamano la kwanza la Kodi Kitaifa.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Benny Mwaipaja, akisisitiza jambo kwa wanahabari waliohudhuria mkutano kuhusu Kongamano la kwanza la Kodi Kitaifa.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiipongeza Korea kwa kutoa misaada na mikopo yenye mashariti nafuu kwa Tanzania.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiagana na Waziri Ofisi ya Uratibu wa Sera wa Korea, Mhe. Moon-Kyu Bang, baada ya kumalizika kwa mkutano kati yao, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu lameck Nchemba (Mb) akisaini nyaraka za makubaliano ya msaada wa shilingi bilioni 210 ambazo Ujerumani imeipatia Tanzania.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu lameck Nchemba (Mb) akizungumza jambo wakati wa hafla ya kusaini makubaliano ya msaada wa shilingi bilioni 210 ambazo Ujerumani imeipatia Tanzania