The Permanent Secretary of the Ministry of Finance, Dr. Natu El-maamry Mwamba (right), and the Director of KfW, Mr. Christoph Tiskens, sign three grant agreements worth TZS 78.58 billion.
Wananchi Mbalimbali wakipata elimu kuhusu mambo mbalimbali walipotembelea banda la Wizara hiyo, Sabasaba katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam.
Wizara ya Fedha yaibuka Mshindi wa Tatu wa Jumla kwa upande wa Wizara zilizoshiriki Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam.
Naibu Kaibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo, akisikiliza maelezo wakati alipotembelea banda la Wizara hiyo, Sabasaba katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam.
Kaimu Kamishna wa Kitengo cha PPP, Bw. Bashiru Taratibu, akisoma Jarida la Hazina Yetu toleo la Tatu, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya 49 ya Sabasaba.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na Balozi wa Jamhuri ya Czech nchini Tanzania, Mhe. Nicol Adamcová, wakitia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili.
Waziri wa Fedha. Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), akimpa zawadi Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, Bi. Victoria Kwakwa, anayekaribia kumaliza muda wake.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Ubalozi wa Ujerumani nchini na Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW)
TANZANIA NA JAPAN ZAISAINI MKATABA WA MSAADA WA BILIONI 27.3 KUSAIDIA SEKTA YA AFYA