Ujumbe wa Tanzania walipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Ufaransa mjini Doha nchini Qatar.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza na Naibu Waziri wa Uchumi - Estonia Mhe. Mariin Ratnik walipokutana , mjini Doha nchini Qatar.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete wakisaini Mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu na msaada.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa kuhusu ushirikiano wa nchi hizo mbili.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza wakati wa mkutano na Balozi wa Canada nchini Mhe. Kyle Nunas ambao uliangazia masuala mbalimbali ya ushirikiano.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akiongoza Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Majadiliano ya Kimkakati kati ya Serikali na Washirika wa Maendeleo Jijini Dar es Salaam.