• Uswisi kuimarisha uhusiano wa kimaendeleo na Tanzania

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango akiagana na Balozi wa Uswisi Nchini  Bi. Florence Mattli.  

 • Uswisi kuimarisha uhusiano wa kimaendeleo na Tanzania

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Uswisi  nchini  Bi. Florence Mattli.

 • Mkutano Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango wafanyika

  Picha ya pamoja Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip I. Mpango na baadhi ya Watumishi.

 • Mkutano Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango wafanyika

  Sehemu ya wajumbe zaidi ya 190 wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango.

 • Mkutano Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango wafanyika

  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip I. Mpango (katikati) akiimba wimbo wa Mshikamano

 • Serikali kutumia bilioni 131.47 kutekeleleza miradi ya kimkakati

  Sekretarieti ya Mkakati wa kuziwezesha Mamlaka ya Serikali za Mitaa

 • Serikali kutumia bilioni 131.47 kutekeleleza miradi ya kimkakati

  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akikata utepe kuashiria Uzinduzi.  

 • Serikali kutumia bilioni 131.47 kutekeleleza miradi ya kimkakati

  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (kulia) akitia saini

 • .

  Mkurugenzi wa Mipango wa Wizara, Bw. Richard Mkumbo, akipunga mikono Siku ya Wafanyakazi Duniani.  

 • .

  Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango wameungana wenzao kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani.

 • Rais - AfDB akunwa na kasi ya Rais Magufuli

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip I. Mpango akifurahia jambo na Rais -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina.

 • Rais - AfDB akunwa na kasi ya Rais Magufuli

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip I. Mpango akiwa na mgeni wake Rais -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina.

 • AfDB yariidhishwa na utekelezaji wa miradi ya nishati ya umeme

  Rais AfDB Dkt.  Akinumwi Adesina akieleza jinsi Benki hiyo inavyoridhishwa na miradi ya nishati ya umeme.

 • AfDB yariidhishwa na utekelezaji wa miradi ya nishati ya umeme

  Rais wa AfDB Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya akiwasili Jijini Dodoma.

 • Mawaziri na Magavana EAC kuwezesha sekta binafsi

  Majadiliano yakiendelea kuhusu namna Serikali zinavyoweza kushirikiana na Sekta Binafsi mjini Washington DC.

 • Mawaziri na Magavana EAC kuwezesha sekta binafsi

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip I. Mpango akibadilishana mawazo na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi (kulia).

 • Ufafanuzi wa Pensheni Wastaafu wa Shirika la Posta na Simu

  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)

 • Mafuriko Jangwani kupatiwa ufumbuzi

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akisikiliza majadiliano katika mkutano wa SADC.

 • Mafuriko Jangwani kupatiwa ufumbuzi

  Baadhi ya Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) wakiwa Washington.

 • Dkt. Mpango akutana na Mkurugenzi Mtendaji WB- Kanda ya Afrika

  Picha ya pamoja ya wajumbe walioshiriki majadiliano ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango WB- Washington