• Uswisi yaipatia Tanzania msaada wa Sh. bilioni 39.6

  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James na Balozi wa Uswisi nchini Mhe. Didier Chassot, wakibadilishana mikataba.

 • Uswisi yaipatia Tanzania msaada wa Sh. bilioni 39.6

  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James na Balozi wa Uswisi nchini Mhe. Didier Chassot, wakisaini mikataba ya msaada

 • Viwanja vya ndege kujengwa kwa viwango vya kimataifa

  Meza Kuu ikiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James katika picha ya pamoja.

 • Viwanja vya ndege kujengwa kwa viwango vya kimataifa

  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi viwanja  vya ndege.

 • Uswisi yaipatia Tanzania msaada wa Sh. bilioni 44.1

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James na Balozi wa Uswisi Tanzania Mhe. Didier Chassot, wakisaini Mikataba.

 • Uswisi yaipatia Tanzania msaada wa Sh. bilioni 44.1

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James na Balozi wa Uswisi Tanzania Mhe. Didier Chassot, wakibadilishana Mikataba

 • Kikao Kazi cha Wasimamizi wa Mali za Serikali chafanyika Dodoma

  Meza kuu ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Mary Maganga katika picha ya pamoja.  

 • Kikao Kazi cha Wasimamizi wa Mali za Serikali chafanyika Dodoma

  Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali, Bw. Chotto Sendo, akizungumza na watumishi wa Idara yake.

 • Bajeti nje ya Mfumo wa PlanRep kutokuchambuliwa

  Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Mary Maganga akifungua mafunzo ya Mfumo wa PlanRep.

 • Kongamano la Wanamipango nchini kwa Mwaka 2020 lafanyika Dodoma

  Utekelezaji wa miradi nchini ikiwemo ya kimkakati ni kwa mujibu wa sheria

 • Mpango Mkuu wa Sekta ya Fedha kwa mwaka 2020/21-2029/30 wazinduliwa

  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Mary Maganga, akizindua Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha.

 • Mpango Mkuu wa Sekta ya Fedha kwa mwaka 2020/21-2029/30 wazinduliwa

  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Mary Maganga, akikabidhi Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha.

 • Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Mary Maganga, katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara
 • Meza Kuu iongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango katika mkutano wa tathmini ya Mifumo ya Fedha
 • Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, akiongoza mkutano kati yake na Mratibu Mkazi wa UN, jijini Dodoma.
 • Balozi wa UK nchini Tanzania Mhe. David Concar, katika picha ya pamoja na wanufaika wa ufadhili wa masomo nchini Uingereza
 • Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Benny Mwaipaja
 • Serikali yapokea gawio kutoka Airtel

  Katibu Mkuu, Bw. Doto James, akipokea gawio la Sh. bilioni 32.99

 • Serikali yapokea gawio la Sh. bilioni 17 kutoka Benki ya CRDB

  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, akipokea gawio kutoka Benki ya CRDB

 • Katibu Mkuu, Bw. Doto James, akifungua Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Hazina wa SADC.

  Katibu Mkuu, Bw. Doto James, akifungua Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Hazina wa SADC.