• Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiwasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha wa Mwaka 2018. (The Microfinance Act, 2018)

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiwasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha wa Mwaka 2018. (The Microfinance Act, 2018)

 • UNICEF kuisaidia Tanzania kufanya tafiti za maendeleo ya mtoto

  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango akiagana na Mkurugenzi wa UNICEF Bi. Leila Pakkala .

 • UNICEF kuisaidia Tanzania kufanya tafiti za maendeleo ya mtoto

  Mkutano kati ya Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango na  Mkurugenzi wa UNICEF,  Bi. Leila Pakkala.  

 • Uwekezaji Sekta ya Elimu kukuza uchumi Afrika

  Wajumbe wa Benki ya Dunia (WB) kundi la Afrika wakiwa katika Mkutano Bali Indonesia

 • Uwekezaji Sekta ya Elimu kukuza uchumi Afrika

  Dkt. Mpango, mjumbe wa WB, nchi za Africa group 1 constituency, akisoma ujumbe wa nchi hizo

 • Mazingira bora ya miradi kuipatia mikopo sekta binafsi

  Viongozi wa IMF wakiwa katika  mkutano mjini Bali Indonesia.

 • Mazingira bora ya miradi kuipatia mikopo sekta binafsi

  Dkt. Mpango akiwa na Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu wan chi mbalimbali

 • Marekebisho ya sheria ya takwimu hayazuii kufanya tafiti

  Mkurugenzi Mtendaji WB, anayeziwakilisha nchi za Afrika, Bw. Andrew Bvumbe (kulia), akieleza jambo

 • Marekebisho ya sheria ya takwimu hayazuii kufanya tafiti

  Mkurugenzi Mtendaji wa IMF, anayewakilisha nchi za Afrika, Bw. Maxwell Mkwezalamba, akiipongeza Tanzania kukuza uchumi.

 • Kikao cha Wadau cha Maboresho ya Mwongozo wa mali za umma

  Wadau wa maboresho ya mwongozo wa mali za umma kutoka mikoa mbalimbali katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Susan Mkapa

 • Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Susan Mkapa, katika picha ya pamoja na wadau wa maboresho ya mwongozo wa mali za umma

  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Susan Mkapa, katika picha ya pamoja na wadau wa maboresho ya mwongozo wa mali za umma

 • Afreximbank kuipatia Tanzania zaidi ya Sh. trilioni moja

  Makamu wa Rais wa Afreximbank Bw. Amr Kamel akielezea  kuhusu Benki yake kutoa dola 500

 • Afreximbank kuipatia Tanzania zaidi ya Sh. trilioni moja

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip I. Mpango, akipeana mkono na  Makamu wa Rais wa Afreximbank Bw. Amr Kamel

 • Tanzania yaibakidhi Seychelles uongozi wa ESAAMLG

  Baadhi ya wajumbe kutoka nchi zaidi ya 19 za Afrika, wakifuatilia kwa makini Mkutano ESAAMLG

 • Tanzania yaibakidhi Seychelles uongozi wa ESAAMLG

  Wajumbe wa Mkutano wa 18 wa ESAAMLG wakiwa katika picha ya pamoja

 • Tanzania yaibakidhi Seychelles uongozi wa ESAAMLG

  Mwenyekiti wa   ESAAMLG, aliyemaliza muda wake, Waziri Dkt. Mpango na Mwenyekiti mpya Waziri wa Fedha wa Seychelles, Balozi Lalanne wakipongezana

 • Miradi ya PPP chachu ya uchumi wa viwanda

  Makatibu wakuu wa taasisi na wakuu wa idara wa Wizara ya Fedha na Mipango katika picha ya pamoja baada ya semina ya PPP

 • Miradi ya PPP chachu ya uchumi wa viwanda

  Makatibu wakuu wa taasisi na wakuu wa idara wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika semina ya PPP

 • Miradi ya PPP chachu ya uchumi wa viwanda

  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James, akizungumza  wakati wa semina ya PPP.

 • Serikali kutekeleza miradi kwa kushirikiana na Sekta binafsi

  Washiriki wa Semina ya PPP Jijini Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja.