• Maelezo ya Waziri Mpango kuhusu Malipo ya madai ya Watumishi

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akizungumza kuhusu hatua ya Serikali kulipa madeni ya malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa Umma.

 • Visima vitatu vya maji vyazinduliwa Kondoa vijijini

  Wanakijiji wa Kijiji cha Mauno Wilayani Kondoa mkoani Dodoma wakichota maji baada ya kuzinduliwa rasmi kwa kisima cha maji.

 • Visima vitatu vya maji vyazinduliwa Kondoa vijijini

  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (wa pili kushoto) akiwa katika picha na wafadhili wa mradi wa kisima cha maji Kondoa.

 • Dkt. Mpango afanya mazungumzo na Mkurugenzi Benki ya Barclays

  Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Benki ya Barclays na watumishi wa Wizara hiyo.

 • Dkt. Mpango afanya mazungumzo na Mkurugenzi Benki ya Barclays

  Ujumbe kutoka Wizara ya Fedha na Mipango ukiongozwa na Waziri Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango katika mazungumzo na Benki ya Barklays.

 • Mawaziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania na Rwanda wakutana

  Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania na Rwanda Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (wa pili kulia) na Mhe.  Gatete Claver (kushoto) katika mazungumzo.

 • Mawaziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania na Rwanda wakutana

  Mkutano kati ya Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania na Rwanda Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango na Mhe.  Gatete Claver ukiendelea.  

 • Mawaziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania na Rwanda wakutana

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango wa Tanzania na Rwanda Bw. Doto James (kulia) na Bw. Caleb Rwaunganza wakibadilishana taarifa.

 • Mkutano wa tatu kati ya Sekta Binafsi na Sekta ya Umma wafanyika Dodoma

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango akifungua mkutano

 • Mkutano wa tatu kati ya Sekta Binafsi na Sekta ya Umma wafanyika Dodoma

  Baadhi ya wabunge wakifuatilia kwa makini mkutano wa tatu wa wadau wa Sekta Binafsi

 • Mkutano wa tatu kati ya Sekta Binafsi na Sekta ya Umma wafanyika Dodoma

  Sehemu ya wadau mbalimbali walioshiriki mkutano kati ya Sekta Binafsi na Sekta ya Umma, Mjini Dodoma.

 • Serikali yatoa ufafanuzi wa matumizi ya fedha za kigeni

  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akifafanua kuhusu matumizi ya fedha za kigeni

 • Serikali yatoa ufafanuzi wa matumizi ya fedha za kigeni

  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (kulia) pamoja na meza kuu wakimsikiliza mfanyabiashara

 • Serikali kuzifutia Leseni Benki ambazo hazitajiunga na Mfumo wa Mapato

  Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (kulia) wakati wa Mkutano na viongozi wa Benki.

 • Serikali kuzifutia Leseni Benki ambazo hazitajiunga na Mfumo wa Mapato

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (Kushoto) akisikiliza kwa makini maelezo ya Viongozi wa Benki.

 • Serikali kuzifutia Leseni Benki ambazo hazitajiunga na Mfumo wa Mapato

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na viongozi wa Benki.

 • Hali ya uchumi na utekelezaji wa bajeti ya Serikali 2017/18

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na waandishi wa habari.

 • Hali ya uchumi na utekelezaji wa bajeti ya Serikali 2017/18

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na waandishi wa habari.

 • TIA yafanya Mahafali ya 15

  Wahitimu wa Shahada ya Kwanza katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania – TIA

 • TIA yafanya Mahafali ya 15

  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akitoa zawadi kwa muhitimu Taasisi ya TIA