• Dkt.MPANGO AWASILISHA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2018/19

  Mbunge wa Busega Dkt. Raphael Chegeni akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango alipowasilisha  Mapendekezo ya Ukomo wa Bajeti ya Serikali 2018/2019.

 • Dkt.MPANGO AWASILISHA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2018/19

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akielezea vipaumbele vya Serikali kwa mwaka 2018/2019.

 • Dkt.MPANGO AWASILISHA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2018/19

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2018/2019.

 • Dkt. Kijaji akagua miradi ya Maendeleo Wilayani Kondoa

  Wakazi wa Kata za Kalamba na Haubi wakimpongeza Naibu Waziri Dkt. Ashatu Kijaji kwa kusimamia maendeleo.  

 • Dkt. Kijaji akagua miradi ya Maendeleo Wilayani Kondoa

  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, akiwaeleza wakazi wa Kata za Kalamba na Haubi kuhusu ujenzi wa Kituo cha Afya

 • Dkt. Kijaji akagua miradi ya Maendeleo Wilayani Kondoa

  Wakazi wa wa Kijiji cha Kalamba Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma  wakipokea kwa shangwe mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya.

 • Mkutano wa Kimkakati na Washirika wa Maendeleo wafanyika Dodoma

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (kulia) na Mkurugenzi Mkazi wa WB nchini  Bi. Bella Bird wakibadilishana mawazo.

 • Mkutano wa Kimkakati na Washirika wa Maendeleo wafanyika Dodoma

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James akihutubia washiriki  wakati wa  mkutano mjini Dodoma.

 • Mkutano wa Kimkakati na Washirika wa Maendeleo wafanyika Dodoma

  Meza Kuu ikiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James wakati wa Mkutano na washirika wa Maendeleo Dodoma.

 • Kamishina wa FIU Bw. Onesmo Makombe na wadau wengine wa mafunzo ya masula Udhibiti wa Utakasishaji Fedha Haramu katika picha ya pamoja

  Kamishina wa FIU Bw. Onesmo Makombe na wadau wengine wa mafunzo ya masula Udhibiti wa Utakasishaji Fedha Haramu katika picha ya pamoja

 • Kamishina wa FIU Bw. Onesmo Makombe akifungua mafunzo ya masuala ya Utakasishaji wa Fedha kwa maafisa wa Benki nchini.

  Kamishina wa FIU Bw. Onesmo Makombe akifungua mafunzo ya masuala ya Utakasishaji wa Fedha kwa maafisa wa Benki nchini.

 • Wadau wa mafunzo ya Udhibiti wa Utakasishaji Fedha haramu wakimsikiliza kwa makini Kamishina wa - FIU Bw. Onesmo Makombe (hayupo pichani)

  Wadau wa mafunzo ya Udhibiti wa Utakasishaji  Fedha haramu wakimsikiliza kwa makini Kamishina wa - FIU Bw. Onesmo Makombe (hayupo pichani) 

 • Jumuiya ya Wachumi Tanzania (EST) yazinduliwa upya

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa EST

 • Jumuiya ya Wachumi Tanzania (EST) yazinduliwa upya

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb) na wadau wengine wakionesha Katiba ya EST.

 • Jumuiya ya Wachumi Tanzania (EST) yazinduliwa upya

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb) akizindua katiba ya EST Jijini Dar es Salaam.

 • Maelezo ya Waziri Mpango kuhusu Malipo ya madai ya Watumishi

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akizungumza kuhusu hatua ya Serikali kulipa madeni ya malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa Umma.

 • Visima vitatu vya maji vyazinduliwa Kondoa vijijini

  Wanakijiji wa Kijiji cha Mauno Wilayani Kondoa mkoani Dodoma wakichota maji baada ya kuzinduliwa rasmi kwa kisima cha maji.

 • Visima vitatu vya maji vyazinduliwa Kondoa vijijini

  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (wa pili kushoto) akiwa katika picha na wafadhili wa mradi wa kisima cha maji Kondoa.

 • Dkt. Mpango afanya mazungumzo na Mkurugenzi Benki ya Barclays

  Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Benki ya Barclays na watumishi wa Wizara hiyo.

 • Dkt. Mpango afanya mazungumzo na Mkurugenzi Benki ya Barclays

  Ujumbe kutoka Wizara ya Fedha na Mipango ukiongozwa na Waziri Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango katika mazungumzo na Benki ya Barklays.