Madai na Malimbikizo ya Waalimu
ImageTatizo la Halmashauri kutolipa stahili za waalimu limekua likiongezeka mwaka hadi mwaka, hayo yamesemwa na Kamishna wa Idara ya Sera - Wizara ya Fedha na Uchumi Bw. Mugisha Kamugisha alipokua akifungua mkutano kuhusu majadiliano ya madai na malimbikizo ya waalimu kwa niaba ya Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Mh.Jeremiah Sumari. Soma habari hii..
 

Maoni

Tuambie kuhusu Huduma zinazotelewa na Wizara ya Fedha tangu tupate Uhuru wa Tanzania Bara
 
Main page Contacts Search Contacts Search