Category Title

  • Government Budget Speeches
  • Ministry's Budget Speeches
  • Budget Books 2023/2024
  • Budget Books 2022/2023
  • Budget Books 2021/2022
  • Budget Books 2020
  • Budget Books 2018/2019
  • Budget Books 2015/2016
  • Budget Books 2014/2015
  • Content not found
  • Content not found
  • Content not found

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAIBUKA KIDEDEA TUZO ZA TANTRADE

16 Jul, 2022
WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAIBUKA KIDEDEA TUZO ZA TANTRADE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, akimkabidhi Dkt. John Sausi, Mkurugenzi wa Mifumo ya Fedha, Wizara ya Fedha na Mipango, moja kati ya tuzo mbili ambazo Wizara ya Fedha na Mipango imezinyakua kwenye Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (sabasaba), yaliyohitimishwa juzi jijini Dar es Salaam. Wizara imetwaa tuzo mbili, 1. Waoneshaji bora katika kundi la Wizara na Taasisi zilizoshiriki Maonesho hayo na tuzo ya 2 ni ya Mfumo Bora wa Kieletroniki wa Ukusanyaji wa Mapato ya Serikali GePG, ambapo katika tuzo zote mbili Wizara imeshika nafasi ya Kwanza.

 

Mkurugenzi wa Mifumo ya Fedha, Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. John Sausi (aliyevaa koti jeusi-katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa kutoka Wizara na Taasisi za Wizara ya Fedha na Mipango walioshiriki Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (sabasaba) wakifurahia tuzo ambazo Wizara ya Fedha na Mipango imezinyakua kwenye Maonesho hayo, yaliyohitimishwa juzi jijini Dar es Salaam. Wizara imetwaa tuzo mbili, 1. Waoneshaji bora katika kundi la Wizara na Taasisi zilizoshiriki Maonesho hayo tuzo ya 2 ni ya Mfumo Bora wa Kieletroniki wa Ukusanyaji wa Mapato ya Serikali GePG, ambapo katika tuzo zote mbili Wizara imeshika nafasi ya Kwanza na tuzo nyingine ya Mshindi wa Tatu wa Jumla wa waoneshaji bora wa Vyuo Vikuu iliyonyakuliwa na Chuo cha Uhasibu Arusha.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango-Dar es Salaa)