• Contact Us
  • FAQs
  • Salary slip Portal
  • Tenders & Notices
  • SWAHILI
  • Search
  • SWAHILI
  • Search
Tanzania emblem

The United Republic of Tanzania

Ministry of Finance

MoF logo
  • Home
  • About Us
    • Vision, Mission and Core values
    • Roles and Values
    • Administration
      • MOF Structure
      • Ministers and Management Team
      • Previous Ministers
      • Divisions
      • Units
      • Subsidiary Institutions
    • MOF Strategic Plan
    • Client Service Charter
    • Historical Background
  • Publications
  • Media Center
    • News
    • Press Releases
    • Speeches
    • Announcements
    • Events
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
  • Projects
    • National Flagship Projects
    • MOF Projects and Programs
  • Services
    • Prepare National Budget
    • Prepare National Plans
    • Monitor Implementation of Plans
    • Fiscal Policies Management
    • Financial information System Management
    • Goverment assets management
    • Government Payment Systems Management
    • Government Internal auditing
  • REPORTS
    • Summary of Uploaded Contracts
    • Contracts 1
    • Contracts 2
    • Contracts 3
    • Contracts 4
    • Contracts 5
    • Contracts 6
    • Contracts 7
    • Contracts 8
    • Contracts 8.1
    • Contracts 8.0.3
    • Contracts 8.0.4
    • Contracts 8.2
    • Contracts 9
    • Contracts 10
      • Timetable
    • Zanzibar Contracts
  • Contact Us
  • FAQs
  • Salary slip Portal
  • Tenders & Notices
  1. News
  2. TANZANIA NA UN ZASAI...
Laws

Laws

Regulations

Regulations

Guidelines

Guidelines

Strategies and Plans

Strategies and Plans

Government Budget

Budget Speeches

Budget Structure

Budget Reports

Citizen Budget

Budget Books

Wage bill

Expenditure Tracking

Policies

Policies

Speeches

Speeches

Financial Reports

Financial Statements

Researches

Researches

Manuals

Manuals

Economic Survey Books

Economic Survey Books

PPP Program

PPP Program

Pension
Covid -19 documents

Covid -19 documents

Revenue Estimates

Revenue Estimates

Category Title

  • 18 Feb, 2023
    THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT , CAP 423, R.E 2022
  • 18 Feb, 2023
    THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT, CAP 423 R.E. 2022.
  • 18 Feb, 2023
    THE ELECTRONIC TRANSACTIONS ACT, CAP 442 R.E. 2022
  • 18 Feb, 2023
    THE_FINANCE_ACT_2022
  • 17 Feb, 2023
    FINANCE ACT- 2021 - Amendment of Government Loans, Guarantees and Grant, Act
  • 16 Feb, 2023
    CHAPTER 439-THE BUDGET ACT.doc FINAL REVISED 2020
  • 16 Feb, 2023
    CHAPTER_290-THE_LOCAL_GOVERNMENT_FINANCE_ACT-01
  • 16 Feb, 2023
    PUBLIC FINANCE ACT, CAP 348 RE 2020
  • 16 Feb, 2023
    THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT, CAP 423 R.E. 2019
  • 16 Feb, 2023
    THE BANKRUPTCY ACT, CAP 25 R.E 2019
  • View All
  • 19 Jun, 2024
    THE PUBLIC FINANCE (MANAGEMENT OF PUBLIC PROPERTY) REGULATIONS, 2024
  • 17 Feb, 2023
    KANUNI ZA MSAMAHA WA RIBA YA MALIMBIKIZO YA KODI YA PANGO LA ARDHI ZA MWAKA 2022
  • 17 Feb, 2023
    THE-PUBLIC-FINANCE-GOVERNMENT-e-PAYMENT-GATEWAY-REGULATIONS-2019
  • 16 Feb, 2023
    AMLA Regulations, June 2022 (GN 397)
  • 16 Feb, 2023
    GN No 121-Public Procurement (Amendment) Regulations April ,2016
  • 16 Feb, 2023
    GN.68 OF 2008- Government loans Regulations
  • 16 Feb, 2023
    KANUNI ZA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA (VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA VYA KIJAMII) LA MWAKA 2019
  • 16 Feb, 2023
    KANUNI ZA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA (WATOA HUDUMA NDOGO WASIOPOKEA AMANA) LA MWAKA 2019
  • 16 Feb, 2023
    KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA TOZO YA MIAMALA YA FEDHA YA KIELETRONIKI ZA MWAKA 2022
  • 16 Feb, 2023
    Public Procurement Ammendment_Act_2016
  • View All
  • 10 Dec, 2024
    MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2025.26
  • 12 Feb, 2024
    PLAN AND BUDGET GUIDELINE FOR 2024/25
  • 17 Nov, 2023
    MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2024_25
  • 08 Sep, 2023
    GUIDELINES FOR RISK MANAGEMENT IN PSE, 2023
  • 08 Sep, 2023
    GUIDELINES FOR FRAUD RISK MANAGEMENT FRAMEWORK IN THE PUBLIC SECTOR ENTITIES, 2023
  • 12 May, 2023
    Compensation Claims Settlement Guidelines 2023
  • 02 Dec, 2022
    MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24
  • 28 Feb, 2022
    MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2022/23
  • 28 Feb, 2022
    MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2021/22
  • 13 Nov, 2021
    Guidelines For Preparation of Plans and Budget 2020_21
  • View All
  • 03 Jan, 2025
    Midterm Review MoF Strategic Plan Final 2025-26.
  • 24 May, 2024
    ENVIRONMENTAL AND SOCIAL COMMITMENT PLAN (ESCP) FAST PROJECT
  • 24 May, 2024
    FINANCIAL ACCESS FOR SUSTAINABLE AND TRANSFORMATIONAL (FAST) GROWTH
  • 28 Jul, 2023
    MPANGO WA TAIFA WA MAENDELEO 2023/2024
  • 11 Jul, 2023
    Tanzania’s 2023 Voluntary National Review (VNR) Report on the Implementation of the 2030 Agenda for Sustainable Development
  • 10 Jul, 2023
    Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2021.22
  • 17 Jan, 2023
    Mwongozo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini ya Miradi na Programu za Maendeleo
  • 21 Dec, 2022
    MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023-24 (2) (1) (1)
  • 19 Dec, 2022
    REVISED STRATEGY FOR MANAGEMENT OF ARREARS
  • 29 Nov, 2022
    PFMRP VI STRATEGY
  • View All
  • Government Budget Speeches
  • Ministry's Budget Speeches
  • 17 Feb, 2023
    SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2022-23
  • 14 Jun, 2022
    BUDGET SPEECH 2022-23 ENGLISH VERSION
  • 08 May, 2022
    SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2021-22
  • 08 May, 2022
    HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2021-22
  • 08 May, 2022
    HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2021-22
  • 07 May, 2022
    SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2020-21
  • 07 May, 2022
    HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2020-21
  • 06 May, 2022
    SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2019-20
  • 06 May, 2022
    SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2018-19
  • 06 May, 2022
    HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2018-19
  • View All
  • 07 Jun, 2023
    Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2023-24
  • 17 Feb, 2023
    Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2022-2023
  • 17 Feb, 2023
    Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2021 - 2022
  • 17 Feb, 2023
    Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2020 - 2021
  • 17 Feb, 2023
    Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2016 - 2017
  • 17 Feb, 2023
    Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2015 - 2016
  • 17 Feb, 2023
    Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2014- 2015
  • 17 Feb, 2023
    Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2006 - 2007
  • 17 Feb, 2023
    Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadio ya Mapato na matumizi 2018-2019
  • 17 Feb, 2023
    Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadio ya Mapato na matumizi 2017-2018
  • View All
  • 04 Nov, 2021
    Budget Structure
  • View All
  • 24 Mar, 2025
    THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE SECOND QUARTER OF 2024/25 (JULY TO DECEMBER 2024)
  • 27 Dec, 2024
    THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FIRST QUARTER OF THE YEAR 2024/25
  • 08 Nov, 2024
    BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FOURTH QUARTER_2023-24
  • 31 May, 2024
    BUDGET EXECUTION REPORT QUATER 3- 2023-24
  • 03 Apr, 2024
    BUDGET EXECUTION REPORT SECOND QUARTER FOR 2023_24
  • 23 Jan, 2024
    BUDGET EXECUTION REPORT Q1 2023-24
  • 28 Nov, 2023
    BUDGET EXECUTION REPORT FOR 2022_23 (JULY 2022 TO JUNE 2023)
  • 31 May, 2023
    THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE THIRD QUARTER OF 2022/23 (JULY 2022 TO MARCH 2023)
  • 11 Apr, 2023
    THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE SECOND QUARTER OF 2022/23
  • 28 Nov, 2022
    THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FIRST QUARTER OF 2022/23 (JULY TO SEPTEMBER 2022)
  • View All
  • 14 Nov, 2024
    KITABU CHA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2024_25 TOLEO LA MWANANCHI
  • 10 Oct, 2023
    GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2023/2024
  • 04 Aug, 2023
    KEY POINTS OF TAX POLICIES IN THE 2023/24 BUDGET SPEECH - CITIZEN EDITION
  • 26 Jul, 2023
    BUDGET INSIGHTS 2023_24
  • 16 Aug, 2022
    Citizen Budget 2022_23 English
  • 03 Mar, 2022
    GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2021/2022
  • 02 Mar, 2022
    GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2020/2021
  • 01 Mar, 2022
    GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2019/2020
  • 28 Feb, 2022
    GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2018/2019
  • 25 Feb, 2022
    GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2017/2018
  • View All
  • Budget Books 2024/2025
  • Budget Books 2023/2024
  • Budget Books 2022/2023
  • Budget Books 2021/2022
  • Budget Books 2020
  • Budget Books 2018/2019
  • Budget Books 2015/2016
  • Budget Books 2014/2015
  • 23 Oct, 2024
    volume I 2024-25 as passed by Parliament
  • 26 Aug, 2024
    Vol II Recurent Expenditure As Passed 202425
  • 26 Aug, 2024
    Vol III Recurrent Expenditure As Passed 202425
  • 26 Aug, 2024
    Vol IV Development Expenditure As Passed 2024_25-2
  • 03 May, 2024
    Vol I Revenue Estimates as Submitted 2024.25
  • 19 Apr, 2024
    Vol II Reccurent Expenditure As Submitted 2024.25
  • 19 Apr, 2024
    Vol III Recurrent Expenditure As Submitted 2024.25
  • 19 Apr, 2024
    Vol IV Development Expenditure As Submitted 2024.25
  • View All
  • 02 May, 2025
    Volume II As Submitted 2025.26
  • 02 May, 2025
    Volume III As Submitted 2025.26
  • 02 May, 2025
    Volume IV As Submitted 2025.26
  • 28 Aug, 2023
    Vol II Recurrent Expenditure As Passed 2023.24
  • 28 Aug, 2023
    Vol III Recurrent Expenditure As Passed 2023.24
  • 28 Aug, 2023
    Vol IV Development Expenditure As Passed 2023.24
  • 04 Apr, 2023
    VOL II Recurrent Expenditure As Submitted 2023-24
  • 04 Apr, 2023
    VOL III Recurrent Expenditure As Submitted 2023-24
  • 04 Apr, 2023
    VOL IV Development Expenditure As Submitted 2023.24
  • View All
  • 07 Nov, 2022
    VOLUME I REVENUE_ESTIMATES_2022_23 AS PASSED BY THE PARLIAMENT
  • 10 Oct, 2022
    As Passed Volume II 2022_23
  • 10 Oct, 2022
    As Passed Volume III 2022_23
  • 10 Oct, 2022
    As passed Volume IV 2022_23
  • 19 Jul, 2022
    Revenue_estimates_22_23
  • 07 Jun, 2022
    VOLUME II As Submitted 2022_23
  • 07 Jun, 2022
    VOLUME III As Submitted 2022_23
  • 07 Jun, 2022
    VOLUME IV As Submitted 2022_23
  • View All
  • 29 Jun, 2022
    VOLUME IV AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
  • 01 Jun, 2022
    VOLUME II AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
  • 31 May, 2022
    VOLUME III AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
  • 07 Mar, 2022
    VOLUME II ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (MINISTERIAL)
  • 06 Mar, 2022
    VOLUME III ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (REGIONAL)
  • 05 Mar, 2022
    VOLUME IV PUBLIC EXPENDITURE ESTIMATES DEVELOPMENT VOTES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (Ministerial and Regional Development Programmes)
  • 04 Mar, 2022
    VOLUME I Financial Statement & Revenue Estimates for the year from 1 July 2021- to 30th June 2022
  • 03 Mar, 2022
    VOLUME II Estimates of Public Expenditure Consolidated Fund Services and Supply Votes (Ministerial) - 2021.22
  • 28 Feb, 2022
    VOLUME III Estimates of Public Expenditure Supply Votes (Regional) - 2021-22
  • 27 Feb, 2022
    VOLUME IV Public Expenditure Estimates Development Votes (Ministerial and Regional Development Programmes ) - 2021.22
  • View All
  • Content not found
  • 03 Mar, 2022
    VOLUME I - FINANCIAL STATEMENT AND REVENUE ESTIMATES 2018-19
  • 02 Mar, 2022
    volome II 2018_19
  • 28 Feb, 2022
    Volume III 2018_19
  • 27 Feb, 2022
    volome IV 2018_19
  • 26 Feb, 2022
    KITABU CHA MKAKATI WA KUZIWEZESHA HALMASHAURI KUJITEGEMEA KIMAPATO
  • View All
  • 03 Mar, 2022
    volome II
  • 02 Mar, 2022
    volome III
  • 01 Mar, 2022
    Volume IV
  • View All
  • 03 Mar, 2022
    Volume II -as passed 2014-15
  • 02 Mar, 2022
    Volume III -as passed 2014-15
  • 01 Mar, 2022
    volume IV-as passed 2014-15
  • View All
  • Content not found
  • Content not found
  • 17 Feb, 2023
    MICROFINANCE Policy - Fedha English
  • 17 Feb, 2023
    PPP Policy 2009
  • View All
  • 13 Mar, 2023
    MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 NA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24
  • 17 Feb, 2023
    HOTUBA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2021 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2022-23
  • View All
  • 11 May, 2023
    REPORT BY THOSE CHARGED WITH GOVERNANCE AND CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 30TH JUNE, 2022
  • 25 Oct, 2022
    Financial statements and compliance audit of public debt and general service (vote 22) for the financial year ended 30 June 2021
  • 25 Oct, 2022
    Financial statements of public debt and general services (vote 22) for the financial year ended 30 June, 2020
  • 25 Oct, 2022
    Financial statements of public debt and general services (vote 22) for the financial year ended 30 June, 2019
  • 10 Jun, 2022
    CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS 30 JUNE 2021
  • 03 Mar, 2022
    Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2020"
  • 02 Mar, 2022
    Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2019"
  • 28 Feb, 2022
    Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2018
  • 27 Feb, 2022
    Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2017
  • View All
  • 06 Nov, 2024
    UFANISI WA MIFUKO NA PROGRAMU ZA SERIKALI ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
  • 06 Nov, 2024
    MATOKEO YA HUDUMA ZA UWAKALA WA BENKI KATIKA UKUAJI WA SEKTA NDOGO YA BENKI TANZANIA
  • View All
  • 17 Feb, 2023
    Enhanced-SP-Portal-User Manual
  • 17 Feb, 2023
    GePG-Helpdesk-User-Manual
  • 17 Feb, 2023
    GePG-LUKU-Portal-User-Manual
  • 17 Feb, 2023
    GePG-POS-APP-USER-MANUAL
  • 17 Feb, 2023
    GEPG-RECONCILIATION-TOOL-USER-MANUAL
  • View All
  • 13 Jun, 2024
    HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2023
  • 28 Jul, 2023
    ECONOMIC SURVEY REPORT -2023-24
  • 15 Jun, 2023
    ECONOMIC SURVEY 2023
  • 14 Jun, 2023
    ECONOMIC SURVEY 2022.
  • 14 Jun, 2023
    KITABU_CHA_HALI_YA_UCHUMI_WA_TAIFA_KATIKA_MWAKA_2022
  • 14 Jun, 2022
    HALI YA UCHUMI WA TAIFA 2021
  • 12 Jun, 2022
    Hali ya Uchumi wa Taifa 2020
  • 28 Feb, 2022
    HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2018
  • 27 Feb, 2022
    HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2017
  • View All
  • 21 May, 2024
    MAREKEBISHO YA KANUNI ZA PPP 2023
  • 21 May, 2024
    MAREKEBISHO YA SHERIA YA PPP, 2023
  • 21 May, 2024
    MKAKATI WA UTEKELEZAJI WA SERA YA PPP
  • 15 May, 2022
    Approved PPP Regulations, 2020
  • 15 May, 2022
    PPP ACT RE 2018
  • 15 May, 2022
    PPP Policy 2009
  • View All
  • 22 Sep, 2022
    TCRP Q3 FINAL REPORT FOR WEB
  • 01 Jun, 2022
    TCRP 1st Quarter Progress Report_Ver 14022022_WEB
  • 23 May, 2022
    IMPLEMENTATION OF THE TANZANIA COVID-19 SOCIOECONOMIC RESPONSE AND RECOVERY PLAN (TCRP)
  • View All
  • 30 Apr, 2024
    VOLUME I REVENUE ESTIMATES AS SUBMITTED
  • 03 Oct, 2023
    VOLUME I REVENUE ESTIMATES AS PASSED 2023-24
  • 06 Apr, 2023
    volume I as Submitted to the National Assembly 2023.24
  • View All

TANZANIA NA UN ZASAINI MPANGO KAZI WA PAMOJA

26 Oct, 2023
TANZANIA NA UN ZASAINI MPANGO KAZI WA PAMOJA

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Kundi la Washirika wa Maendeleo nchini, Bw. Zlatan Milišić, wakisaini Mpango Kazi wa Pamoja wa 2023-2024 wa ushirikaiano kati ya Tanzania na Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, katika kikao cha Pili cha Kamati ya Usimamizi ya Pamoja kati ya Serikali ya Tanzania na Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, kilichofanyika katika ukumbi wa Kambarage, jijini Dodoma. Anayeshuhudia ni Kamishna Msaidizi Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Robert Mtengule.

 

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Umoja wa Mataifa (UN) wamesaini Mpango Kazi wa pamoja wa Mwaka 2023/24 wa ushirikiano wa maendeleo kati ya Serikali na Mashirika ya Umoja wa Mataifa.

Hati za Mpango kazi huo zimesainiwa jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Kundi la Washirika wa Maendeleo nchini, Bw. Zlatan Milišić, katika Kikao cha Pili cha Kamati ya Usimamizi wa Mpango wa Ushirikiano kati ya Tanzania na Mashirika ya Umoja wa Mataifa.

Akizungumza katika kikao hicho, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba amehimiza watekelezaji wote wa Mfumo wa Ushirikiano wa Maendeleo Endelevu wa Umoja wa Mataifa (UNSDCF) zikiwemo Taasisi za Serikali, AZAKI, Mashirika yasiyo ya Kiserikali na Umoja wa Mataifa kwa ujumla, kutumia fedha zinazotolewa na washirika wa maendeleo ipasavyo katika kuleta maendeleo nchini.

“Kama wasimamizi wa rasilimali za umma tuna jukumu la kuendeleza ustawi wa wananchi, na kuhakikisha kila shilingi inayotengwa inatumika kwa ufanisi, uwazi, na kwa umakini wa hali ya juu kwa maendeleo ya Taifa” Alisisitiza Dkt. Mwamba.

Alisema Mfumo wa UNSDCF unaweka msisitizo katika ushirikiano thabiti ili kuleta mabadiliko ambapo utekelezaji wake unahitaji ushirikiano endelevu kati ya Tanzania na UN, huku ukiendelea kusisitiza katika maadili, kanuni na viwango vya pamoja vya mfumo wa Umoja wa Mataifa.

“Mkutano huu ni muhimu katika jitihada zetu zinazoendelea za kufikia malengo yetu makubwa yaliyowekwa katika Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu na hasa baada ya hivi karibuni kuhitimisha Jukwaa la Ngazi ya Juu la Kisiasa la Umoja wa Mataifa lililofanyika Julai 2023, nchini Marekani, ambapo pamoja na mambo mengine, kama Taifa tuliwasilisha Ripoti ya Tathmini ya Kitaifa ya Hiari ya mwaka 2023 (VNR) kuhusu Utekelezaji wa Ajenda ya 2030 ya SDGs”, alibainisha Dkt. Mwamba.

Aidha, alitoa rai kwa pande zote kuendelea kuzingatia Sheria ya Mikopo, Dhamana na Misaada, Sura ya 134 (kifungu cha 30) ambayo pamoja na mambo mengine, inatamka kwamba Waziri wa Fedha atakuwa na mamlaka ya kupokea  kwa niaba ya Serikali ruzuku yoyote itakayotolewa kwa Serikali kutoka kwa Serikali yoyote ya kigeni au mtu mwingine, isipokuwa akikasimisha kwa Afisa yeyote wa Umma aliyetajwa kutekeleza kwa niaba ya Serikali makubaliano yoyote au hati nyingine inayohusiana na mkopo, dhamana au ruzuku.

Aliupongeza Umoja wa Mataifa (UN) kwa kuendelea kushirikiana na Tanzania na kubainisha kuwa msaada unaotolewa na UN umesaidia Serikali katika kutekeleza sera za kiuchumi na mageuzi ili kukuza ukuaji wa uchumi, kupunguza umaskini, na kuboresha ustawi wa kijamii na kiuchumi wa watu ambapo bila msaada huo baadhi ya mipango ya kupunguza umasikini ingechelewa.

Akizungumzia kikao hicho, Dkt. Mwamba alisema kuwa kikao hicho ni hatua muhimu katika dhamira inayoendelea ya kufikia malengo yaliyoainishwa katika Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu.

Kwa upande wake Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Kundi la Washirika wa Maendeleo nchini, Bw. Zlatan Milišić, alisema kuwa kutokana na juhudi za pamoja mafanikio makubwa yameweza kufikiwa katika kipindi cha mwaka mmoja ikiwemo maendeleo ya watu na kujenga mazingira wezeshi.

‘’Tumefanikiwa katika ushirikishaji wa masuala ya kijinsia katika mifumo ya fedha na kutumia kanuni ya kutomwacha yeyote nyuma hasa katika mikakati ya afya. Tulifanikiwa katika kupanua wigo wa utoaji huduma za afya na elimu’’, alisema Bw. Zlatan Milišić.

Aliongeza kuwa walifanikiwa kufanya kazi na Serikali pamoja na washirika wa maendeleo kukusanya rasilimali kupunguza usaidizi wa maendeleo na kufanikiwa kukusanya rasilimali chini ya Mfuko wa Kimataifa (GFTAM), na kuunga mkono mikakati mbalimbali kama vile Mwongozo Maalum wa Kitaifa na mikakati inayohusu Eneo la Biashara Huria la Bara la Afrika na Biashara ya Mtandaoni.

‘’Tumeunga mkono utoaji wa taarifa za makubaliano ya kimataifa ikiwemo kupitia usaidizi kwa Utafiti wa Demografia na Afya (DHS), Sensa ya Watu na Makazi (PHC) na zoezi la Mapitio ya Hiari ya Kitaifa ya 2023’’, aliongeza.

Aidha, alisema kuwa mtazamo wa UN kwa jamii ulisababisha kuongezeka kwa uelewa miongoni mwa makundi mbalimbali ya watu kuhusu haki, wajibu na wajibu wao katika safari ya kuelekea mafanikio ya maendeleo ya taifa.

Alishukuru kwa ushirikiano ambao UN unapata kutoka kwa Serikali ya Tanzania na kueleza kuwa anatumai ushirikiano huo utaendelea katika ngazi zote, huku akiahidi kuwa UN itaendelea kuunga mkono Serikali katika jitihada za kuleta maendeleo.

MWISHO.

 
Contact Us

The United Republic of Tanzania

Ministry of Finance

Treasury Square Building 18 Jakaya Kikwete Road

P.O.BOX 2802,
40468 Dodoma.

Email Address: info@hazina.go.tz

Phone: +255 26 2160000

Quick Links
MOF Library
Tax Exemptions
Press Releases
Announcements
Photo Gallery
Video Gallery
Related Links
Bank of Tanzania
Financial Intelligence Unit
Tanzania Revenue Authority
National Bureau of Statistics
Public Procurement Regulatory Authority (PPRA)
Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Important Links
Ikulu Tanzania
Vice President's Office
Prime Minister's Office
GePG Informations
Government Procurement Services Agency
Parliament of Tanzania
  • Sitemap
  • Disclaimer
  • Terms and Conditions
  • Copyright Statement
  • The website is Designed and Developed by e-Government Authority Content Maintained by Ministry of Finance
    © 2025 MoF, All Rights Reserved.