YALIYOJIRI SABASABA KATIKA BANDA LA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

Matukio mbalimbali katika banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.