YALIYOJIRI KATIKA BANDA LA WIZARA YA FEDHA - NANE NANE DODOMA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi Rosemary Senyamule, (wakwanza kulia), akitembelea Idara na Taasisi mbalimbali za Wizara ya Fedha, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha, katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo NaneNane, yanayofanyika Nzuguni, jijini Dodoma, yaliyobeba kaulimbiu ya ‘’chagua viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi”