WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA NANE NANE JIJINI MBEYA
                        Watumishi wa Wizara ya Fedha, wakitoa elimu  kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane, yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, yaliyobeba kaulimbiu ya “Vijana na Wanawake ndio Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula Tanzania”.
                    
                