WIZARA YA FEDHA YAANZA KWA KISHINDO UTOAJI HUDUMA MAONESHO YA SABASABA
Wizara ya Fedha na Taasisi zake zimeanza kutoa elimu ya umma kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024.