TANZANIA NA DENMARK KUIMARISHA ZAIDI USHIRIKIANO WA KIUCHUMI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akimkabidhi zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro, Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen, baada ya kukutana jijini Dodoma na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa nchi hizo mbili katika nyanja za uwekezaji kwa kuishirikisha Sekta binafsi, Nishati, Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na masuala ya kiuchumi.