SADC YAKAMILISHA ZOEZI LA TATHMINI YA UCHUMI TANZANIA

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo, akiipongeza timu ya watalaam wa tathmini ya Uchumi kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) walioongozwa na Mkurugenzi wa Utafiti wa Uchumi kutoka Benki ya Zimbabwe, Bw. Nebson Mupunga (kushoto), kwa kukamilisha zoezi la tathmini hapa nchini, jijini Dodoma