MIFUMO YA GePG NA NPMIS YAWAVUTIA WANANCHI WIKI YA UBUNIFU

Wataalamu wa Mifumo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, wakitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Fedha na Mipango, wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu kitaifa yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.