MIFUMO YA GePG NA NPMIS KUCHOCHEA MAENDELEO

Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA), Prof. William Pallangyo, na wageni wengine waliotembelea Banda la WIzara ya Fedha na Mipaango, wakisikiliza maelezo kuhusu Mfumo wa Kitaifa wa Usimamizi wa Miradi ya Maendeleo na Programu (NPMIS) kutoka kwa mtaalamu wa Mfumo huo kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Subira Msabaha, wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.