MAKATIBU MUHTASI WASTAAFU WIZARA YA FEDHA WASISITIZA MAADILI
Mwenyekiti wa Makatibu Muhtasi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi Janeth Mwamanga, akizungumza jambo wakati akiwaaga Makatibu Mhutasi wa Wizara hiyo waliostaafu (kulia), Bi. Teddy Kasiga, Bi. Dionisia Mkoma, Bi. Shellah Juma, Bi. Jestina Chang’a, Bi. Hawa Karuma, Bi. Asha Bongi, Bi. Hojo Pazi, na Bi. Asha Majura, wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika jijini Dodoma.