DKT NCHEMBA, PROFESA KABUDI WAJADILI MAENDELEO YA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU NCHINI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Profesa Palamagamba Kabudi (kulia) na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania- TFF, Bw. Wallace Karia (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukutana na kufanya majadiliano kuhusu maendeleo na changamoto zinazoikabili sekta ya michezo hususan mpira wa miguu nchini, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam.