DKT. MPANGO AFUNGUA JUKWAA LA KODI NA UWEKEZAJI 2024

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akitembelea mabanda ya Wizara ya Fedha, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Bunge,TPSF,TCCIA,TRA, CTI, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, linalofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Conventional Centre (JNICC), jijini Dar es Salaam.