DKT. KIKWETE ASISITIZA AMANI NCHI ZA SADC

Rais Mtaafu wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na wajumbe kutoka Tanzania washiriki Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), jijini Luanda Angola.