Category Title

  • Government Budget Speeches
  • Ministry's Budget Speeches
  • Budget Books 2023/2024
  • Budget Books 2022/2023
  • Budget Books 2021/2022
  • Budget Books 2020
  • Budget Books 2018/2019
  • Budget Books 2015/2016
  • Budget Books 2014/2015
  • Content not found
  • Content not found
  • Content not found

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAKANUSHA TAARIFA YA KUSHINDWA KULIPA DENI LA BENKI YA EIB

06 Mar, 2023 Download

DAR ES SALAAM, 5 Machi, 2023 – Kuna taarifa inasambaa mitandaoni ikidai kuwa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya EIB, inaidai Tazania dola za Kimarekani bilioni 4.1 (zaidi ya shilingi trilioni 10 za Kitanzania) na kwamba mwezi Januari, Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, aliomba mkopo mwingine kwenye Benki hiyo, lakini ilikataa kutoa mkopo huo kwa sababu haijalipwa deni kwa muda wa miezi 28.