WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI KIKAMILIFU SHEREHE ZA MEI MOSI DODOMA

Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Fedha wakiwa katika maandamano wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa katika Viwanja vya Jamhuri, jijini Dodoma, yakiwa na kaulimbiu ya “Nyongeza ya mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha”