WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO ZAMBIA YATEMBELEA WIZARA YA FEDHA TANZANIA KIMAFUNZO

Kamishna Msaidizi Idara ya Madeni, Wizara ya Fedha, Bw. Nuru Ndile, akizungumza katika kikao na wageni kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Zambia, walipowasili katika Ofisi za Hazina (Treasury Square), Jijini Dodoma, kwa ziara ya mafunzo kuhusu usimamizi wa madeni ya ndani.