WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Watumishi wanawake wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ambapo mkoani Dodoma maadhimisho hayo yenye kauli mbiu “Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia Chachu katika kuleta Usawa wa Kijinsia”yamefanyika katika Wilaya ya Kondoa.