WAZIRI WA FEDHA NA WAZIRI WA KILIMO WATETA NA UJUMBE WA NMS INFRASTRUCTURE

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza kuhusu umuhimu wa uwekezaji katika sekta ya kilimo wakati wa mkutano na ujumbe kutoka Kampuni ya NMS Infrastructure kutoka nchini Uingereza, ikiongozwa na Mratibu wa Kampuni hiyo kwa nchi za Afrika Mashariki, Bw. Tom Vaughan (hayupo pichani), jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe.