WANANCHI WAKOSHWA NA WIZARA NA FEDHA KATIKA MAENESHO YA NANE NANE JIJINI DODOMA
Afisa wa Usimamizi wa Mifumo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha, Bw. Emmanuel Maendaenda (kulia), akitoa maelezo ya mifumo ya fedha inavyorahisisha makusanyo ya fedha za Serikali kwa Wakazi wa jiji la Dodoma walipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane, yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya Nane Nane, Nzuguni, jijini Dodoma, yaliyobeba kaulimbiu ya “Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi”.