WANANCHI WAIPONGEZA WIZARA YA FEDHA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE DODOMA
Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (Eastern Africa Statistical Training Centre), Dkt. Tumaini Katunzi (Kulia), akiScan Msimbo wa QR yenye Filamu ya Elimu ya Fedha, wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane, yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya Nane Nane, Nzuguni, jijini Dodoma, yaliyobeba kaulimbiu ya “Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi”. Kulia ni Afisa Usimamizi wa Fedha Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha, Bi. Mary Mihigo, Bi. Mary Mihigo.