TANZANIA NA IRAN ZIMESAINI MAKUBALIANO YA KUONDOA UTOZAJI KODI MARA MBILI

Tanzania na Jamhuri ya Kiislam ya Iran zimesani makubaliano ya majadiliano ya Kuondoa Utozaji Kodi Mara Mbili baada ya kufanyika kwa majadiliano ya kina kati ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamesaniwa Jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Idara ya Uchambuzi wa Sera na Utafiti, Wizara ya Fedha, Bw. William Mhoja, kwa upande wa Tanzania na Mkurugenzi wa Sheria na Mikataba ya Kodi wa Irani, Dkt. Hossein Abdollah