NCHI 16 ZA SADC ZASHIRIKI MKUTANO WA 43 LUANDA, ANGOLA

Matukio katika picha baada ya Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), jijini Luanda Angola.