MIFUMO YA FEDHA KUDHIBITIWA KWA FANI YA UHASIBU NA TEHAMA

Serikali imetoa rai kwa vyuo vyote nchini vinavyo fundisha fani za uhasibu, fedha, uchumi na biashara kuhusisha Tekinolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuwa na wataalamu watakao simamia vyema mifumo ya fedha na kuondoa vihatarishi vilivyopo