MHE. CHANDE ATETA NA MKUU WA MKOA KILIMANJARO

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (kushoto), amewasili mkoani Kilimanjaro, ambapo anafanya ziara ya siku mbili mkoani humo kusikiliza changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya mashine za Kieletroniki (EFD).