MHE. CHANDE ATEMBELEA WAFANYABIASHARA JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), ametembelea jiji la Arusha kusikiliza changamoto wanazokutana nazo, wakati wa ziara yake katika jiji hilo, iliyolenga kutatua changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD), jijini Arusha.