MFANYAKAZI HODARI WIZARA YA FEDHA 2024 AKABIDHIWA CHETI
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. Bi. Jenifa Christian Omolo (kushoto) akiagana na Bw. Masoud Ndembo, kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha na Huduma za Tehama, ambaye ni Mfanyakazi Hodari wa Wizara ya Fedha kwa mwaka 2024 baada ya kukabidhiwa Cheti, alipotembelewa nyumbani kwake jijini Dodoma. Kulia ni Katibu wa TUGHE Wizara ya Fedha, Bw. Shumbi Mkumbo.