MATUKIO MBALIMBALI KIKAO CHA MAANDALIZI YA FfD4 ETHIOPIA

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akifuatilia majadiliano wakati wa Kikao cha Kwanza cha Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ugharamiaji kwa Maendeleo Endelevu (Fouth International Conference on Financing for Development - FfD4, kinachofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia, ambapo alitumia nafasi hiyo kueleza masuala mbalimbali muhimu ya kiuchumi kwa maslahi ya Tanzania hususani utafutaji wa rasilimali za ndani, mabadiliko ya tabianchi na uchumi wa nchi.