MAANDALIZI YA MKUTANO WA SADC WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI

Habari picha ya kikao cha ujumbe wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa ajili ya maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), jijini Luanda Angola. Mhe. Makamu wa Rais anamwakilisha Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mkutano huo utakaofanyika Agosti 17, 2023