MAADHIMISHO WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA KUWASOGEZEA WANANCHI HUDUMA ZA FEDHA KARIBU

Watumishi Wizara ya Fedha wakiendelea kutoa elimu kuhusu namna bora ya kutunza fedha kwa wananchi mbalimbali waliotembelea banda la Wizara ya Fedha wakati wa maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kauli mbiu ya “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Uchumi”, yanayofanyika katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.