ELIMU YA FEDHA YAFIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU-MANYARA
Katibu Tawala Mkoa wa Manyara, Bi. Maryam Muhaji (katikati), Afisa Usimamizi wa Fedha, kutoka Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava (wakwanza kulia), Afisa Maendeleo ya Jamii Ofisi ya Rais – TAMISEMI (wapili kulia) Bi. Avelina Kapologwe, Afisa Usimamizi wa Fedha, kutoka Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Salim Kimaro, (wanne kulia) pamoja na Bw. Ali Mokiwa, Mratibu wa Huduma Ndogo za Fedha Mkoa wa Manyara, wakiwa katika picha ya Pamoja, mara baada ya Timu hiyo ya kutoa elimu ya fedha kuwasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara kabla ya kuelekea Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.