DKT. NCHEMBA NA BASHE WAJADILIANA MABORESHO YA BAJETI NA SERA KATIKA KUBORESHA SEKTA YA KILIMO

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa kikao na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (hayupo pichani) pamoja na wataalam kutoka Wizara hizo mbili, ambapo wamejadiliana masuala ya kibajeti na sera katika kuboresha Sekta ya Kilimo nchini, katika Ofisi ya Wizara ya Fedha, jijini Dodoma.