DKT NCHEMBA AWAFUNDA WAKAGUZI WA NDANI WA SERIKALI
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewataka Wakaguzi wa Ndani kufanya kazi zao bila kupepesa macho kwa kufichua upotevu wote wa fedha za umma kwa kuwa Serikali ipo na itawalinda ili kuhakikisha fedha za umma vinatumiwa vizuri kama ilivyopangwa