DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA KAMATI YA MAWAZIRI WA FEDHA NA UWEKEZAJI WA SADC-KINSHASA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kushoto na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe (MB), wakishiriki Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika Mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC)