DKT. NCHEMBA AMPOKEA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AfDB)
Matukio mbalimbali wakati Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina, alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.