DKT. NCHEMBA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI BENKI YA MAENDELEO TIB
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia) akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo TIB, Bw. Sosthenes Kewe, baada ya kumaliza mkutano kati yao, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Benki hiyo na mchango wake katika maendeleo ya Taifa, uliofanyika Wizara ya Fedha Treasure Square, jijini Dodoma.