DKT. NCHEMBA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA NCBA
Matukio mbalimbali wakati Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia) akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NCBA Tanzania Bw. Claver Serumaga, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano kati ya Benki hiyo na Serikali katika kuchangia maendeleo, katika Ofisi ya Waziri wa Fedha Treasure Square, jijini Dodoma.