DKT.NCHEMBA AJIBU HOJA ZA WABUNGE AKIHITIMISHA MJADALA WA BAJETI KUU YA SERIKALI

Matukio mbalimbali wakati Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu hoja za wabunge wakati wa kuhitimisha mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali ambapo jioni, 26/6/2024, wabunge wote watapiga kura, jijini Dodoma.