DKT. CHEMBA AWASILISHA TAARIFA YA HALI YA UCHUMI NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2023/2024

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.