BENKI YA DUNIA YAKAMILISHA TATHMINI YA USIMAMIZI WA MADENI WIZARA YA FEDHA

Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Madeni wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Japhet Justine (wa tano kulia), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa jopo la wataalamu kutoka Benki ya Dunia, Bi. Lilia Razlog (wa tano kushoto) na Bw. Hakan Yavuz (wa ne kushoto) baada ya kumalizika kwa Tathmini ya namna bora ya kusimamia madeni Wizarani hapo, wengine ni wajumbe kutoka Benki hiyo na Wizara ya fedha na mipango, jijini Dodoma.